KIGAMBONI · DAR ES SALAAM

Nyota wa Kigamboni

Kusanya nyota 22 zilizofichwa mitaani: kutoka Feri ya Magogoni hadi Kipepeo Beach, juu ya makontena, kwenye Daraja la Nyerere na ndani ya feri yenyewe.

Usitumie jina lako halisi. Mfano: SimbaMdogo, Nyota10
CHAGUA JEZI
-10%Sherehekea siku yako ya kuzaliwa Nyota Cafe!

Kompyuta: mishale ← ↑ → ↓ kutembea, Space kuruka, Shift kukimbia, E kuongea au kupanda bajaji. Simu: tumia kijiti cha kushoto na vitufe vya kulia.