MASOMO YA CODING · NOVEMBA 2026

Jifunze coding Nyota

Tengeneza michezo yako mwenyewe kama Nyota wa Kigamboni! Masomo ya coding kwa watoto wa miaka 7 hadi 17, Novemba 2026.

BOOK A SPOT ↓
BEITZS 30,000kwa kipindiWatoto 2 au zaidi: TZS 25,000 kila mmoja (punguzo la TZS 5,000)Jumamosi na Jumapili · asubuhi, mchana au jioni

UTAJIFUNZA NINI

  • MCHEZO WAKOTengeneza mchezo wako wa kwanza wa kompyuta
  • MANTIKIJifunze kufikiri hatua kwa hatua kama mtengenezaji programu
  • UBUNIFUBuni wahusika na ulimwengu wako mwenyewe
  • TIMUFanya kazi pamoja na marafiki wapya

JINSI INAVYOFANYA KAZI

  1. Jaza fomu pamoja na mzazi au mlezi wako.
  2. Nyota inampigia mzazi wako kuthibitisha siku na malipo (TZS 30,000 kwa kipindi).
  3. Njoo Nyota mwezi Novemba 2026 na namba yako ya booking.

WEKA NAFASI YAKO

WATOTO WANAOJIUNGA
Ukiandikisha watoto 2 au zaidi, kila mmoja ni TZS 25,000.
MASOMO YAKO
Chagua tarehe
Inapakia vipindi…
Chagua muda
Kila kipindi kina nafasi 12 tu · kila mtoto anahitaji booking yake.
Una laptop au kompyuta nyumbani?
MZAZI AU MLEZI · JAZA HAPA

Sehemu hii ijazwe na mzazi au mlezi. Tutawasiliana naye peke yake.

MASWALI? WASILIANA NA NYOTA CAFE WhatsApp / Simu: 0797 713 412 nyotacafe@gmail.com